Makundi ya wanawake yatafaidikia moja kwa moja na kitita cha hazina ya wanawake

  • | K24 Video
    57 views

    Makundi ya wanawake sasa yatafaidikia moja kwa moja na kitita cha hazina ya wanawake ambacho Rais William Ruto amekiongeza hadi shilingi bilioni 13. Hazina hiyo ambayo itakuwa chini ya hazina ya hasla itakuwa haina suala la kujuana na mtu wakati katika kuifaidi.