Makundi yakosa kulipa mikopo ya 'uwezo fund' Lungalunga

  • | Citizen TV
    122 views

    Makundi ya vijana, akina mama na walemavu katika eneo bunge la Lungalunga kaunti ya Kwale yametakiwa kulipa fedha za mfuko wa uwezo Funds wanazodaiwa kutoka mwaka wa 2014 ili kuongeza kiwango cha pesa watakazo faulu kukopeshwa baadaye.