Waziri wa usalama wa ndani, Kipchumba Murkomen ametangaza kuwa serikali itaanzisha hatua dhabiti zaidi za kuajiri maafisa wa polisi kwa lengo la kuimarisha nidhamu na weledi ndani ya huduma ya kitaifa ya polisi.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya