Malalamiko ya wafanyakazi 35 wa zamani wa Pride Inn Paradise Mombasa

  • | Citizen TV
    Malalamiko ya wafanyakazi 35 wa zamani wa Pride Inn Paradise Mombasa Wafanyakazi hao wanasema hoteli iliwafuta kazi kinyume cha sheria Waathiriwa wasema wataelekea mahakamani kutafuta haki wiki ijayo Usimamizi wa Pride Inn wasema ulifuata sheria licha ya changamoto za corona