Malalamiko ya walimu Garissa

  • | Citizen TV
    250 views

    Muungano wa chama cha walimu KNUT tawi la Garissa limekashifu tume ya kuajiri walimu TSC kwa kubatilisha nafasi 482 za walimu waliokuwa wamehitimu kupandishwa ngazi katika eneo la Kaskazini Mashariki.