Malalamishi ya matokeo ya KCPE kusikizwa mwaka ujao

  • | Citizen TV
    798 views

    Ni pigo kwa wanafunzi waliofanya mtihani wa KCPE na ambao walikuwa na malalamishi kuhusu matokeo ya mtihani huo baada ya mahakama ya Nakuru kuagiza kesi hiyo kusikizwa tarehe saba mwezi wa Februari mwaka ujao.