Malawi yaanza majaribio ya kukuza mahindi ya GMO | VOA Swahili

  • | VOA Swahili
    116 views
    Malawi imeanza majaribio ya kukuza mahindi yaliyofanyiwa mabadiliko ya kigenetiki maarufu GMO kwa ajili ya kukabiliana na uhaba wa chakula na wadudu waharibifu kwa mimea kama viwavi jeshi. Majaribio yanafanyika wakati kuna wasiwasi kuhusu madhara ya afya na mazingira yanayosababishwa na vyakula vya GMO. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.