Malawi yaripoti visa 35,000 vya utoaji mimba mitaani | VOA Swahili

  • | VOA Swahili
    127 views
    Nchini Malawi, visa 35,000 vya utoaji mimba wa mitaani, viliripotiwa mwaka 2022 na 2023, kulingana na Wizara ya Afya ya taifa hilo la Kusini mwa Afrika. Taratibu hizo zisizo salama, ni kati ya sababu zilizopelekea ongezeko la uungaji mkono, wa haki za utoaji mimba, katika miaka ya hivi karibuni. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.