Mali: 'Nafurahia kuwaona watoto wangu tisa wakiwa na afya njema'

  • | BBC Swahili
    2,396 views
    Watoto tisa waliozaliwa kwa wakati mmoja "wana afya njema’’ "Watoto wote wanatambaa sasa. Wengine wameketi na wanaweza hata kutembea ikiwa wameshikilia kitu," alisema Abdelkader Arby, afisa katika jeshi la Mali. Bado wako katika uangalizi wa zahanati nchini Morocco walikozaliwa. Alisema mama yao Halima Cissé, 26, pia alikuwa anaendelea vizuri. #bbcswahili #wanawake #malezi