Malimbikizi ya pesa ya wakulima wa miwa na wafanyikazi wa Nzoia Sugar kulipwa kwa awamu

  • | Citizen TV
    243 views

    Asilimia 20 ya malipo kwa wakulima na wafanyakazi wa kampuni ya sukari ya Nzoia watapata malimbikizi yao ya miezi mitatu kutoka Kwa serikali kuu kuanzia ijumaa hii.