26 Aug 2025 7:55 pm | Citizen TV 294 views Duration: 56s Timu ya taifa ya voliboli ya kenya malkia strikers watatafuta kumaliza kwa kiwango cha juu watakapocheza na Vietnam jumatano katika mechi yao ya mwisho katika kundi "G" la mashindano ya dunia ya F.I.V.B huko Phuket, Thailand