Malkia Strikers wajitayarisha kuwania taji la dunia mjini Phuket, Thailand

  • | NTV Video
    48 views

    Kocha wa timu ya taifa ya voliboli ya wanawake Malkia Strikers Geoffrey Omondi, amesema kuwa timu Iko katika hali nzuri kuelekea mechi yao ya pili ya makundi dhidi ya Poland ya kuwania taji la Dunia mjini Phuket, Thailand.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya