Mama adaiwa kuwauwa wanawe wawili Kericho

  • | Citizen TV
    984 views

    Familia moja kutoka kijiji cha Kabartegan eneobunge la Bureti wadi ya Chemosot kaunti ya Kericho, inaomboleza vifo vya watoto wawili wanaodaiwa kuuwawa na mama yao.