Mama aeleza namna mchanganyiko wa mimea na sabuni ulivyomtoa mimba⁣

  • | VOA Swahili
    76 views
    Nchini Malawi, matukio 35,000 ya utoaji mimba wa mitaani, yaliripotiwa mwaka 2022 na 2023, kulingana na Wizara ya Afya ya taifa hilo la Kusini mwa Afrika. Taratibu hizo zisizo salama, ni kati ya sababu zilizopelekea ongezeko la uungaji mkono, wa haki za utoaji mimba, katika miaka ya hivi karibuni. Chimwemwe Padatha anayo ripoti zaidi kutoka Lilongwe, inayosimuliwa hapa na Hubbah Abdi.⁣ #utoajimimba #lilongwe #malawi #kienyeji #sabuni #majani #mitaani #serikali #dini #madaktari #voa #voaswahili