Mama aliyeishi na aibu ya Fistula kwa miaka 20

  • | BBC Swahili
    Asteria Mabirika ni mama aliyeishi na aibu ya Fistula kwa zaidi ya miaka 20. Alitegemea waganga wa kienyeji watamtibu lakini walimtumia vibaya kwa kumuoa na baadae kumtaliki kwasababu ya kutoa harufu. Amekabiliwa na kutengwa na upweke kwasababu ya hali yake. Lakini hatimae alipata msaada kutoka Amref Africa waliomtibu na wanawake wengine kutoka kijiji chake. #Fistula #bbcswahili #Tanzania