Mama aliyetoweka hajaweza kufahamika ni nani, na atoka wapi

  • | Citizen TV
    Kituo cha kuwasitiri wanawake waliodhulumiwa hapa nairobi kinatafuta familia ya mama mmoja ambaye amekuwa akiishi huko tangu disemba mwaka jana. Mwanamke huyo hana kumbukumbu ya alikotoka na alipatikana akizurura mjini kikuyu bila kitambulisho. Kutokumbuka kwake kumekuwa changamoto kuu katika kuwatafuta jamaa zake.