Mama alyemtupa mtoto baharini kuzuiliwa siku saba

  • | Citizen TV
    3,728 views

    Mama mmoja anayetuhumiwa kumtupa mtoto baharini ataendelea kuzuiliwa na polisi kwa siku saba zaidi ili kuwapa polisi muda wa kukamilisha uchunguzi.