Mama amtupa mwanawe chooni huko Bungoma

  • | NTV Video
    1,169 views

    Mwanamke mmoja wa umri wa makamu anazuiliwa katika kituo cha polisi cha Misikhu, kaunti ya Bungoma baada ya kujifungua na kumtupa mtoto wa siku tatu chooni. Maafisa wa polisi walimuokoa malaika huyo.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya