Mama aripotiwa kuwauwa wanawe wawili kabla ya kujitoa uhai Bomet

  • | Citizen TV
    1,877 views

    Polisi kaunti ya Bomet wanachunguza kisa ambapo mwanamke mmoja aliwauwa wanawe wawili kabla ya kujitoa uhai. Familia ya marehemu Lorna Cherono na wanawe wa miaka 12 na 3 ikisema kuwa mama huyu aliwapiga wanawe na kifaa butu kabla ya kujinyonga. Aaron Kipkoech anaarifu kutoka Chebisian kaunti ya Bomet