Mama mmoja alilia haki baada ya jamaa asiyemfahamu kuvamia shamba lake na kukata miti yote

  • | Citizen TV
    457 views

    Mama mmoja kutoka kijiji cha Muthesya eneo la Kithimani Yatta Kaunti ya Machakos analilia haki baada ya Jamaa asiyemfahamu kuvamia shamba lake na kukata miti yote ya Matunda ikiwemo Miembe na Michungwa.