Mama mmoja anadaiwa kuwaua wanawe watatu

  • | Citizen TV
    1,744 views

    Maafisa wa usalama eneo la Gigiri wameanzisha uchunguzi kufuatia kisa ambapo mama mmoja anadaiwa kuwaua wanawe watatu kabla ya kujitoa uhai