Mama mmoja mjini Kajiado awauwa watoto wake wawili kwa kuwachoma moto kutokana na hasira

  • | Citizen TV
    120 views

    Mama mmoja mjini Kajiado amewauwa watoto wake wawili kwa kuwachoma moto kutokana na hasira kwamba mumewe ameoa mke wa pili. Watoto hao wenye umri wa miaka 10 na miaka 2 wamechomeka kiasi ya kutoweza kutambulika kama anavyoarifu Robert Masai.