Mama mmoja na wanawe 4 wateketezwa katika moto uliofahamika kuanzishwa kama kisasi cha penzi hatari

  • | NTV Video
    885 views

    Biwi la simanzi limetanda katika eneo la Bulapesa, kaunti ya Isiolo, baada ya familia moja ya watu watano kuteketea katika moto mkubwa uliofahamika kuanzishwa kama kisasi cha penzi hatari.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya