Mama na mwanawe waliookolewa waungana tena hospitali

  • | Citizen TV
    4,109 views

    ilikuwa hali ya kipekee katika hospitali ya Malindi baba mama na mwanawe ambao wote walikuwa wafuasi wa muhubiri tata Paul Mackenzie kupatana baada ya kuokolewa.