Mama na wanawe wasaba waachwa bila makao baada ya mumewe kuteketeza nyumba yao

  • | Citizen TV
    2,547 views

    Mama na wanawe saba wameachwa bila makao baada ya mumewe kuteketeza nyumba yao katika kijiji cha Elukhule, eneobunge la Shinyalu kaunti ya Kakamega. Kisa hicho kinaripotiwa kutokea kufuatia mzozo wa kinyumbani.