Mama Ruto ahimiwa wanawake kutumia mfumo wa Bottom Up kuondoa umaskini

  • | KBC Video
    54 views

    Mama taifa Rachael Ruto amewahimiza wanawake humu nchini kutumia fursa zilizopo chini ya mfumo wa mageuzi ya kiuchumu wa Bottom Up kuondoa umaskini miongoni mwao na vijana. Akiongea wakati wa uzinduzi wa mkakati wa chama cha wanawake wataalamu kutoka eneo la Nyanza, mama taifa aliwahimiza viongozi kuzindua mipango sawia katika kaunti zote.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News