Mama tembo abeba mwili wa mtoto wake aliyefariki kwa siku tatu

  • | BBC Swahili
    6,150 views
    Video kutoka Sri Lanka imeonyesha tukio la kusikitisha ambapo tembo mama alionekana akivuta mwili wa mtoto wake aliyefariki, kwa muda wa siku tatu. Wataalamu wanasema ni vigumu kueleza kwa uhakika sababu ya tabia hiyo, lakini inawezekana kuwa ni njia ya kuomboleza. #bbcswahili #tembo #wanyama #maombolezo #kifo #wanyamapori Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw