Mama Tessie Musalia, shirika la Ahadi Trust watoa chakula kwa waathiriwa wa mafuriko Namanga

  • | Citizen TV
    960 views

    Tessie Musalia, mke wa mkuu wa mawaziri Musalia Mudavadi, kwa ushirikiano na shirika la Ahadi Trust Kenya wametoa msaada wa chakula kwa wakaazi wa eneo la Namanga, Kaunti ya Kajiado baada ya eneo hilo kukumbwa na mafuriko.