Mama vihiga akosa kuwapeleka watoto hospitali kwa sababu ya dini yake

  • | TV 47
    23 views

    Watoto watano wenye umri wa kati ya miaka 10 hadi miezi minne wamenusuriwa leo katika kijiji cha Madidi kwenye kata ya Lugaga katika Kaunti ndogo ya Vihiga, kutoka katika malezi yanayodaiwa kuwa yenye itikadi kali mikononi mwa mama yao mzazi ambaye anasemekana kuwanyima wanawe haki ya kupata elimu au hata matibabu kutokana na imani yake.

    #UpeoWaTV47__

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __