Mama wa taifa aongoza upanzi wa miti milioni moja

  • | KBC Video
    25 views

    Mama wa taifa Rachael Ruto amezindua mradi wa upanzi wa miti kwa jina, Mama doing good. Mradi huo unaotekelezwa kwa ushirikiano na shirika la Nature conservancy na hazina ya maji ya Eldoret-Iten,utahusisha upanzi wa miche milioni moja huko Elgeyo Marakwet. Mama wa taifa alisema mradi huo utaimarisha utoaji wa huduma za maji nchini pamoja na kutimiza lengo la serikali la kupanda miti bilioni moja nchini katika kipindi cha miaka kumi ijayo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channell: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #treeplanting #environmentalconservation