Mama wa Taifa atoa wito wa kuwapa wanawake uwezo zaidi

  • | KBC Video
    67 views

    Mama wa TaifaRachel Ruto, anatetea kuongezwa kwa pesa za hazina ya serikali ya kitaifa ya kuyapa uwezo makundi maalum ili iweze kushughulikia kikamilifu mahitahi ya makundi hayo. Mama wa taifa aliyekuwa katika kaunti ya Kajiado wakati wa kusambwazwa kwa vifaa vya kuyaletea mapato makundi maalum alisema ipo haja ya kuongeza kiwango kilichoko kwa sasa kutokana na athari za kiuchumi kwenye viwango vya mashinani.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News