Mama wa taifa Rachael Ruto amehimiza wafungwa wa kike kuzingatia elimu na mafunzo gerezani

  • | KBC Video
    100 views

    Mama wa taifa Rachael Ruto amehimiza wafungwa wa kike katika magereza mbalimbali kote nchini kutumia kikamilifu mipango ya elimu na mafunzo yanayotolewa gerezani ili kupata ujuzi muhimu unaoweza kuwasaidia maishani.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News