Mama wa watoto watano amekamatwa Vihiga kwa kutowapeleka shuleni na hospitalini

  • | West TV
    376 views
    Watoto watano wenye umri wa kati ya miaka 10 hadi miezi minne wamenusuriwa alhamisi hii katika kijiji cha madidi kata ya lugaga kaunti ndogo ya vihiga, kutoka malezi yanayodaiwa kuwa yenye itikadi kali mikononi mwa mama yao mzazi anayetajwa kuwanyima wanawe haki ya kupata elimu na matibabu kutokana na imani yake