Skip to main content
Skip to main content

Mama wanaobeba mimba kwa niaba ya wanawake wengine katikati ya vita

  • | BBC Swahili
    4,444 views
    Duration: 7:40
    Kwa miaka mingi, Ukraine imekuwa moja ya kituo vikuu cha uzazi kwa njia ya urithi wa mimba (surrogacy), ikivutia watu wanaopenda kuwa na watoto kutoka sehemu mbalimbali za dunia. Hata baada ya uvamizi wa Urusi, sekta hiyo haijasimama, huku kliniki za uzazi zikibadilika kuendana na maisha katika eneo la vita. Je kwa nini wanandoa bado wanasafiri kwenda Ukraine kupata watoto licha ya vita vinavyoendelea na jinsi sheria mpya inayopendekezwa inaweza kupiga marufuku hatua ambayo inaweza kuvunja moja ya masoko makubwa zaidi ya surrogacy duniani. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw