Skip to main content
Skip to main content

Mama ya mwathiriwa ataka haki kwa mwanawe Narok aliyenusurika ubakaji

  • | Citizen TV
    2,526 views
    Duration: 1:44
    Mama ya mwanafunzi mmoja wa kidato cha nne katika Shule ya Upili ya Ilmashariani mjini Narok analilia haki baada ya jaribio la ubakaji kutibuka eneo la ‘Father Ntaaiya’ viungani mwa mji wa Narok lilomwacha mwanawe na majeraha.