- 262 viewsMahsa Amini alifariki dunia hospitalini tarehe 16 Septemba 2022, siku tatu baada ya kuzuiliwa na polisi wa maadili wa Iran kwa madai ya kukiuka sheria zinazowataka wanawake kufunika nywele zao. Kifo chake kilizua maandamano makubwa zaidi nchini Iran tangu mapinduzi ya 1979 na wanawake duniani kote, ikiwa ni pamoja na watu wengi maarufu, walionyesha uungaji mkono wao kwa kukata nywele kama kitendo cha kupinga. Sasa, kwa mara ya kwanza, mamake Mahsa, Mojgan Eftekhari ametuma maelezo kuhusu maisha ya mtoto wake kwa BBC. #bbcswahili #iran #mahsaamini Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
Mama yake Mahsa Amini asimulia kuhusu maisha yake kwa mara ya kwanza
- - Duniani Leo ››
- 19 Aug 2025 - Vehicles used to smuggle goods to be handed to the State, says judge
- 19 Aug 2025 - Justice on sale: How racketeers at Busia courts are exploiting suspects, widows
- 19 Aug 2025 - DPP challenges the acquittal of terror suspects in explosives case
- 19 Aug 2025 - Parliamentary group meeting turned stormy due to leaders' sustained accusations of bribery against the National Assembly.
- 19 Aug 2025 - Group C- Painful exit awaits either Uganda, Algeria, or South Africa
- 19 Aug 2025 - What was presented to rice farmers as a solution to weeds has now become a nightmare.
- 19 Aug 2025 - It is important for Kenyans who intend to apply for a U.S. visa to be aware of recent
- 19 Aug 2025 - He’s reportedly determined to uncover who sidelined him and why, given his influential position.
- 19 Aug 2025 - Land has a vital role in sustaining human communities, nurturing diverse ecosystems, and regulating the climate of our planet.
- 19 Aug 2025 - Hustler-in-Chief woos vast youth voting bloc with empowerment schemes, start-up giveaways and skills, credit and jobs