'Mama yangu alitamani kuyaona maua yanayochipua baada ya miaka 12'

  • | BBC Swahili
    606 views
    Aelikkutti ni mama mwenye umri wa miaka 87 ambaye alitaka kuona maua ya Neelakurinji ya kusini mwa India yakichanua kwa mara ya kwanza baada ya miaka 12. Kwa hivyo, wanawe wawili walimbeba mabegani mwao kwa kilomita sita juu ya mlima ili kutimiza matakwa yake. Walipofika kileleni, mama yao aliketi katikati ya maua yake anayopenda na familia yake. #bbcswahili #india #familia