Mamake mwanahabari Mwendazake Arshad Sharif asema tume ya uchunguzi haina uhuru

  • | NTV Video
    550 views

    Tume ambayo ilifaa kuchunguza kifo cha mwanahabari Mpakistani Arshad Sharif yasambaratika baada ya malalamishi kutoka kwa mamake Sharif; Riffat Ara Alvi asema maafisa hao ni wa serikali na hawawezi kuwa uhuru katika uchunguzi

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya