Mambo 5 unayopaswa kufahamu kuhusu virutubisho kabla ya kuvitumia

  • | BBC Swahili
    377 views
    Kuanzia virutubisho vya unga hadi vidonge, virutubisho viko kila mahali. Vinauzwa kama suluhu za haraka za changamoto za afya, zikisaidia mambo mbalimbali ya afya. Ingawa hutumikia kusudi kwa ajili ya hali fulani lakini mara nyingi haielekezwi. Na watu wengi hawajui hatari wala mapungufu, yalivyo nyuma ya chapa ya bidhaa hizo. @elizabethikazibure anaelezea Mambo 5 unayopaswa kufahamu kuhusu virutubisho kabla ya kuvitumia #bbcswahili #afya #virutubisho Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw