Mambo sita kwanini kitabu cha Prince Harry ni tatanishi

  • | BBC Swahili
    803 views
    Kitabu cha kumbukumbu cha Prince Harry kwa jina Spare , kimebaini msururu wa matukio na madai dhidi ya familia ya kifalme ya Uingereza. Kitabu hicho kinatarajiwa kuanza kuuzwa hii leo lakini BBC ilipata nakala hiyo nchini Uhispania ambapo kiliuzwa kwa bahati mbaya. Kitabu cha Harry kimejuimuisha jinsi alivyopigwa na kaka yake, alivyowaua wapiganaji wa Taliban 25 alipokuwa akihudumu kama rubani huko Afghanistan na alipotumia dawa za kulevya alipokuwa na umri wa miaka 17. Kasri ya Kensington na Buckingham zimesema hazitatoa matamshi yoyote kuhusiana na kitabu hicho. #bbcswahili #uingereza #familiayakifalme