Mameneja watano wa zamani wa NSSF washtakiwa kwa wizi wa Kshs 1.2B

  • | KBC Video
    Wafanyikazi watano wa zamani wa shirika la NSSF wamepatikana hatia ya makosa mbalimbali kuhusiana na kupotea kwa shilingi bilioni 1.2 katika shirika hilo. Pesa hizo zinasemekana kupotea kupitia mauzo yasiyo halali ya hisa baina ya mwaka wa 2004 na 2007. Wafanyikazi wengine wawili waliondolewa mashtaka baada ya kukosekana kwa ushahidi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #Fraud #NSSF