Mamia kutoka kaunti mbalimbali waendelea kuathirika na mvua inayonyesha

  • | Citizen TV
    302 views

    Zaidi ya Wakenya 300 kutoka kaunti mbalimbali watalazimika kuvumilia baridi baada ya mvua inayozidi kunyesha kusababisha mafuriko wanakoishi. Walioathirika sasa wakililia msada wa dharura kwani wanakodolea macho ukosefu wa vyakula pamoja na mkurupuko wa magonjwa.