Mamia waachwa bila makao sehemu mbalimbali nchini kufuatia mvua kubwa inayonyesha

  • | Citizen TV
    1,881 views

    Mamia ya wakazi katika kaunti mbalimbali wanaendela kutaabika kufuatia mvua inayosababisha mafuriko kote nchini. Barabara na mabomba ya maji yameharibiwa na kuwaacha baadhi ya wakenya kwenye athari ya mkurupuko wa maradhi. Na kama anavyoarifu Laura Otieno, hali hii inajiri huku idara ya utabiri wa hali ya anga ikionyesha kuwa mvua kubwa itaendelea kwa siku saba zijazo na kutoa tahadhari kwa wakenya kuwa waangalifu zaidi