Skip to main content
Skip to main content

Mamia wabaki bila makao Kisumu baada ya mto Nyamasaria kuvunja kingo na kusababisha mafuriko

  • | Citizen TV
    2,987 views
    Duration: 2:32
    Mamia ya familia kutoka kijiji cha Oluti kaunti ya Kisumu zimesalia bila makao, baada ya majumba yao kuharibiwa na mafuriko. Mto Nyamasaria ulivunja kingo zake Jumanne usiku na kusomba mali, mifugo na hata mazao shambani. Na kama anavyoarifu Laura Otieno, waathiriwa sasa wanalaumu ukosefu wa vizuizi katika mto huo ambao husababisha mafuriko mara kwa mara.