Mamia wahudhuria maziko ya msichana wa Kiisraeli baada ya kuuwawa akipambana na Hamas

  • | VOA Swahili
    329 views
    Mamia ya Waisraeli walihudhuria mazishi ya mwanajeshi mwenye cheo cha First Lieutenant au Moses, 22, katika mji wa Ashdod Jumapili, baada ya kuuwawa akipambana na wanamgambo wa Hamas mapema siku ya Jumapili. Waombolezaji na wanajeshi waliungana katika ibada ya kumkumbuka mbele ya jeneza la Moses, lililokuwa limefunikwa bendera ya Israeli, na kuzikwa chini ya ardhi. Idadi ya vifo kutokana na mapigano hayo imevuka 1,000 na maelfu wamejeruhiwa pande zote mbili. #israel #gaza #reels #igreels #videography #voa #hamas