Mamia wakusanyika mochari Kisumu kuchukua miili ya waathiriwa wa ajali

  • | NTV Video
    61 views

    Mamia ya waakazi wa kaunti ya Kisumu walijumuika katika mochari ya Jaramogi Oginga Odinga, kwa minajili ya kutoa miili za wapendwa wao waliofariki baada ya kuhusika kwa ajali mbaya wiki jana

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya