Mamia wapokezwa hatimiliki Bunyala, Busia

  • | KBC Video
    4 views

    Mamia ya wakazi wa eeno la Bunyala kaunti ya Busia wamepata afueni baada ya kupokea hatimiliki za ardhi kutoka kwa tume ta taifa la ardhi. Hatua hiyo inafuatia agizo la rais William Ruto wakati wa ziara yake katika eneo hilo wiki iliyopita kwamba wamiliki halali wa ardhi wapatiwe hatimiliki. Kwa mujibu wa msajili wa ardhi katika kaunti ya Busia Lamu Violet, utoaji wa stakabadhi hizo ni mafanikio makubwa kwa wakazi wa Bunyala. Kufikia sasa hatimiliki-300 zimetolewa kwa wamiliki halisi wa ardhi licha ya kuwepo kwa mizozo ya kifamilia kuhusu umiliki wa ardhi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive