Mamia ya maduka na maeneo ya biashara jijini Nairobi

  • | Citizen TV
    7,522 views

    Mamia ya maduka na maeneo ya biashara jijini Nairobi yaliporwa, kuvunjwa na kuchomwa wakati wa maandamano, huku wamiliki wakikadiria hasara. Wafanyabiashara wanalilia hasara huku maduka kadhaa ya jumla yakiporwa Nairobi, Nyeri, Naivasha na Bungoma.