Mamia ya vijana wajitokeza mjini Kapsabet kujaribu bahati yao ya kujiunga na jeshi

  • | Citizen TV
    1,818 views

    Katika kaunti ya Nandi, mamia ya vijana wamejitokeza mjini Kapsabet kujaribu bahati yao kujiunga na jeshi. Zoezi hilo linaendelea katika uwanja wa maonyesho ya kilimo mjini Kapsabet.