- 325 viewsDuration: 2:32Mamia ya vijana wamepewa ufadhili wa kuanzisha biashara kwenye mradi wa Nyota katika hafla ambayo imefanyika kakamega. mradi huo wa miaka mitano, unaolenga vijana zaidi ya laki nane nchini, ulianzishwa na serikali ya kenya na kudhaminiwa na benki ya dunia.